Native Bible

2 Timothy 1:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu.

2 Timothy 1:16 in English

2 Timothy 1:16 · Berean Standard Bible

May the Lord grant mercy to the household of Onesiphorus, because he has often refreshed me and was unashamed of my chains.

Context

14Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu. 15Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene. 16Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu. 17Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata. 18Bwana na amjalie kupata rehema zake siku ile! Nawe unajua vyema jinsi alivyonisaidia huko Efeso.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.