2 Timotheo 1:14
2 Timothy 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.
2 Timothy 1:14 in English
2 Timothy 1:14 · Berean Standard Bible
Guard the treasure entrusted to you,* with the help of the Holy Spirit who dwells in us.
Context
12Hii ndiyo sababu ninateseka namna hii, lakini sioni haya kwa maana ninamjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kuwa anaweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hadi siku ile. 13Shika kwa uthabiti kielelezo cha mafundisho yenye uzima yale uliyoyasikia kwangu, pamoja na imani na upendo katika Kristo Yesu. 14Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu. 15Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene. 16Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.