Native Bible

2 Timothy 1:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shika kwa uthabiti kielelezo cha mafundisho yenye uzima yale uliyoyasikia kwangu, pamoja na imani na upendo katika Kristo Yesu.

2 Timothy 1:13 in English

2 Timothy 1:13 · Berean Standard Bible

Hold on to the pattern of sound teaching * you have heard from me, with the faith and love that are in Christ Jesus.

Context

11Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii. 12Hii ndiyo sababu ninateseka namna hii, lakini sioni haya kwa maana ninamjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kuwa anaweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hadi siku ile. 13Shika kwa uthabiti kielelezo cha mafundisho yenye uzima yale uliyoyasikia kwangu, pamoja na imani na upendo katika Kristo Yesu. 14Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu. 15Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.