Native Bible

2 Timothy 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata.

2 Timothy 1:17 in English

2 Timothy 1:17 · Berean Standard Bible

Indeed, when he arrived in Rome, he searched diligently until he found me.

Context

15Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene. 16Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu. 17Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata. 18Bwana na amjalie kupata rehema zake siku ile! Nawe unajua vyema jinsi alivyonisaidia huko Efeso.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.