Native Bible

2 Samuel 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi. Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni.

2 Samuel 3:5 in English

2 Samuel 3:5 · Berean Standard Bible

and his sixth was Ithream, by David’s wife Eglah. These sons were born to David in Hebron.

Context

3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli* mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli; wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 4wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali; 5wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi. Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni. 6Wakati wa vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi, Abneri alikuwa anajiimarisha katika nafasi yake kwenye nyumba ya Sauli. 7Basi Sauli alikuwa amekuwa na suria, jina lake Rispa binti wa Aiya. Naye Ish-Boshethi akamwambia Abneri, “Kwa nini umekutana kimwili na suria wa baba yangu?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.