2 Samweli 3:3
2 Samuel 3:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli* mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli; wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri;
2 Samuel 3:3 in English
2 Samuel 3:3 · Berean Standard Bible
his second was Chileab,* by Abigail the widow of Nabal of Carmel; his third was Absalom, the son of Maacah daughter of King Talmai of Geshur;
Context
1Vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi vilidumu kwa muda mrefu. Daudi akaendelea kuwa imara zaidi na zaidi, wakati nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika zaidi na zaidi. 2Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni:
Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli; 3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli* mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli;
wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 4wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi;
wa tano, Shefatia mwana wa Abitali; 5wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi.
Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.