Native Bible

2 Samuel 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli;

2 Samuel 3:2 in English

2 Samuel 3:2 · Berean Standard Bible

And sons were born to David in Hebron: His firstborn was Amnon, by Ahinoam of Jezreel;

Context

1Vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi vilidumu kwa muda mrefu. Daudi akaendelea kuwa imara zaidi na zaidi, wakati nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika zaidi na zaidi. 2Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli; 3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli* mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli; wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 4wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.