Native Bible

2 Samuel 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali;

2 Samuel 3:4 in English

2 Samuel 3:4 · Berean Standard Bible

his fourth was Adonijah, the son of Haggith; his fifth was Shephatiah, the son of Abital;

Context

2Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli; 3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli* mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli; wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 4wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali; 5wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi. Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni. 6Wakati wa vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi, Abneri alikuwa anajiimarisha katika nafasi yake kwenye nyumba ya Sauli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.