2 Samweli 3:1
2 Samuel 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi vilidumu kwa muda mrefu. Daudi akaendelea kuwa imara zaidi na zaidi, wakati nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika zaidi na zaidi.
2 Samuel 3:1 in English
2 Samuel 3:1 · Berean Standard Bible
Now the war between the house of Saul and the house of David was protracted. And David grew stronger and stronger, while the house of Saul grew weaker and weaker.
Context
1Vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi vilidumu kwa muda mrefu. Daudi akaendelea kuwa imara zaidi na zaidi, wakati nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika zaidi na zaidi. 2Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni:
Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli; 3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli* mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli;
wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.