Native Bible

2 Samuel 22:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu.

2 Samuel 22:41 in English

2 Samuel 22:41 · Berean Standard Bible

You have made my enemies retreat before me; I put an end to those who hated me.

Context

39Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. 40Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 41Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu. 42Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.