Native Bible

2 Samuel 22:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani.

2 Samuel 22:43 in English

2 Samuel 22:43 · Berean Standard Bible

I ground them as the dust of the earth; I crushed and trampled them like mud in the streets.

Context

41Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu. 42Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani. 44“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu; umenihifadhi mimi kama kiongozi wa mataifa. Watu ambao sikuwajua wananitumikia, 45nao wageni huja wakininyenyekea, mara wanisikiapo, hunitii.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.