2 Samweli 22:45
2 Samuel 22:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nao wageni huja wakininyenyekea, mara wanisikiapo, hunitii.
2 Samuel 22:45 in English
2 Samuel 22:45 · Berean Standard Bible
Foreigners cower before me; when they hear me, they obey me.
Context
43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi;
niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani. 44“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu;
umenihifadhi mimi kama kiongozi wa mataifa.
Watu ambao sikuwajua wananitumikia, 45nao wageni huja wakininyenyekea,
mara wanisikiapo, hunitii. 46Wote wanalegea,
wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 47“Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu!
Atukuzwe Mungu,
Mwamba, Mwokozi wangu!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.