Native Bible

2 Samuel 22:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka.

2 Samuel 22:46 in English

2 Samuel 22:46 · Berean Standard Bible

Foreigners lose heart and come trembling * from their strongholds.

Context

44“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu; umenihifadhi mimi kama kiongozi wa mataifa. Watu ambao sikuwajua wananitumikia, 45nao wageni huja wakininyenyekea, mara wanisikiapo, hunitii. 46Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 47“Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu, Mwamba, Mwokozi wangu! 48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.