Native Bible

2 Samuel 22:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu,

2 Samuel 22:48 in English

2 Samuel 22:48 · Berean Standard Bible

the God who avenges me and brings down nations beneath me,

Context

46Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 47“Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu, Mwamba, Mwokozi wangu! 48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu, 49aniwekaye huru toka kwa adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 50Kwa hiyo nitakusifu, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.