2 Samweli 22:50
2 Samuel 22:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo nitakusifu, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.
2 Samuel 22:50 in English
2 Samuel 22:50 · Berean Standard Bible
Therefore I will praise You, O LORD, among the nations; I will sing praises to Your name.*
Context
48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi,
ayawekaye mataifa chini yangu, 49aniwekaye huru toka kwa adui zangu.
Uliniinua juu ya adui zangu;
uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 50Kwa hiyo nitakusifu, Ee Bwana,
katikati ya mataifa;
nitaliimbia sifa jina lako. 51Humpa mfalme wake ushindi mkuu;
huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake,
kwa Daudi na wazao wake milele.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.