2 Samweli 22:40
2 Samuel 22:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu.
2 Samuel 22:40 in English
2 Samuel 22:40 · Berean Standard Bible
You have armed me with strength for battle; You have subdued my foes beneath me.
Context
38“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta,
sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 39Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena;
walianguka chini ya miguu yangu. 40Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita;
uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 41Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,
nami nikawaangamiza adui zangu. 42Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa;
walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.