2 Samweli 22:39
2 Samuel 22:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
2 Samuel 22:39 in English
2 Samuel 22:39 · Berean Standard Bible
I devoured and crushed them so they could not rise; they have fallen under my feet.
Context
37Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze. 38“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta,
sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 39Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena;
walianguka chini ya miguu yangu. 40Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita;
uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 41Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,
nami nikawaangamiza adui zangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.