2 Samweli 22:37
2 Samuel 22:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huyapanua mapito yangu, ili miguu yangu isiteleze.
2 Samuel 22:37 in English
2 Samuel 22:37 · Berean Standard Bible
You broaden the path beneath me so that my ankles do not give way.
Context
35Huifundisha mikono yangu kupigana vita;
mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 36Hunipa ngao yako ya ushindi,
unajishusha chini ili kuniinua. 37Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze. 38“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta,
sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 39Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena;
walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.