2 Samweli 22:36
2 Samuel 22:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hunipa ngao yako ya ushindi, unajishusha chini ili kuniinua.
2 Samuel 22:36 in English
2 Samuel 22:36 · Berean Standard Bible
You have given me Your shield of salvation, and Your gentleness exalts me.*
Context
34Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu,
huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 35Huifundisha mikono yangu kupigana vita;
mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 36Hunipa ngao yako ya ushindi,
unajishusha chini ili kuniinua. 37Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze. 38“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta,
sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.