Native Bible

2 Samuel 22:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu.

2 Samuel 22:34 in English

2 Samuel 22:34 · Berean Standard Bible

He makes my feet like those of a deer and stations me upon the heights.

Context

32Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? 33Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 34Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 35Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 36Hunipa ngao yako ya ushindi, unajishusha chini ili kuniinua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.