Native Bible

2 Samuel 22:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba.

2 Samuel 22:35 in English

2 Samuel 22:35 · Berean Standard Bible

He trains my hands for battle; my arms can bend a bow of bronze.

Context

33Mungu ndiye anivikaye nguvu na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 34Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 35Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 36Hunipa ngao yako ya ushindi, unajishusha chini ili kuniinua. 37Huyapanua mapito yangu, ili miguu yangu isiteleze.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.