2 Samweli 1:19
2 Samuel 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. Jinsi wenye nguvu walivyoanguka!
2 Samuel 1:19 in English
2 Samuel 1:19 · Berean Standard Bible
“Your glory, O Israel, lies slain on your heights. How the mighty have fallen!
Context
17Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe, 18naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upinde (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari): 19“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka.
Jinsi wenye nguvu walivyoanguka! 20“Msilisimulie hili katika Gathi,
msilitangaze hili katika
barabara za Ashkeloni,
binti za Wafilisti wasije wakafurahia,
binti za hao wasiotahiriwa
wasije wakashangilia. 21“Enyi milima ya Gilboa,
msipate umande wala mvua,
wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka.
Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa,
ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.