2 Samweli 1:17
2 Samuel 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe,
2 Samuel 1:17 in English
2 Samuel 1:17 · Berean Standard Bible
Then David took up this lament for Saul and his son Jonathan,
Context
15Kisha Daudi akamwita mmoja wa watu wake na kumwambia, “Nenda ukamuue!” Kwa hiyo akampiga, naye akafa. 16Kwa maana Daudi alikuwa amemwambia, “Damu yako iwe juu ya kichwa chako mwenyewe. Kinywa chako mwenyewe kimeshuhudia dhidi yako uliposema, ‘Nilimuua mpakwa mafuta wa Bwana.’ ” 17Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe, 18naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upinde (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari): 19“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka.
Jinsi wenye nguvu walivyoanguka!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.