2 Samweli 1:18
2 Samuel 1:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upinde (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari):
2 Samuel 1:18 in English
2 Samuel 1:18 · Berean Standard Bible
and he ordered that the sons of Judah be taught the Song of the Bow.* It is written in the Book of Jashar:*
Context
16Kwa maana Daudi alikuwa amemwambia, “Damu yako iwe juu ya kichwa chako mwenyewe. Kinywa chako mwenyewe kimeshuhudia dhidi yako uliposema, ‘Nilimuua mpakwa mafuta wa Bwana.’ ” 17Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe, 18naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upinde (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari): 19“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka.
Jinsi wenye nguvu walivyoanguka! 20“Msilisimulie hili katika Gathi,
msilitangaze hili katika
barabara za Ashkeloni,
binti za Wafilisti wasije wakafurahia,
binti za hao wasiotahiriwa
wasije wakashangilia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.