Native Bible

2 Corinthians 6:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu.

2 Corinthians 6:12 in English

2 Corinthians 6:12 · Berean Standard Bible

It is not our affection, but yours, that is restrained.

Context

10tukiwa kama wenye huzuni, lakini siku zote tukifurahi; tukionekana maskini, lakini tukitajirisha wengi; tukiwa kama wasio na kitu, lakini tuna vitu vyote. 11Tumesema nanyi wazi, enyi Wakorintho na kuwafungulieni mioyo yetu wazi kabisa. 12Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu. 13Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa. 14Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.