2 Wakorintho 6:11
2 Corinthians 6:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tumesema nanyi wazi, enyi Wakorintho na kuwafungulieni mioyo yetu wazi kabisa.
2 Corinthians 6:11 in English
2 Corinthians 6:11 · Berean Standard Bible
We have spoken freely to you, Corinthians. Our hearts are open wide.
Context
9tukiwa maarufu, lakini tukihesabiwa kama tusiojulikana; tukiwa kama wanaokufa, lakini tunaishi; tukipigwa, lakini hatuuawi; 10tukiwa kama wenye huzuni, lakini siku zote tukifurahi; tukionekana maskini, lakini tukitajirisha wengi; tukiwa kama wasio na kitu, lakini tuna vitu vyote. 11Tumesema nanyi wazi, enyi Wakorintho na kuwafungulieni mioyo yetu wazi kabisa. 12Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu. 13Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.