2 Wakorintho 6:13
2 Corinthians 6:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa.
2 Corinthians 6:13 in English
2 Corinthians 6:13 · Berean Standard Bible
As a fair exchange, I ask you as my children: Open wide your hearts also.
Context
11Tumesema nanyi wazi, enyi Wakorintho na kuwafungulieni mioyo yetu wazi kabisa. 12Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu. 13Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa. 14Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15Kuna mapatano gani kati ya Kristo na Beliari?* Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.