2 Wakorintho 6:14
2 Corinthians 6:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?
2 Corinthians 6:14 in English
2 Corinthians 6:14 · Berean Standard Bible
Do not be unequally yoked with unbelievers. For what partnership can righteousness have with wickedness? Or what fellowship does light have with darkness?
Context
12Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu. 13Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa. 14Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15Kuna mapatano gani kati ya Kristo na Beliari?* Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini? 16Kuna mapatano gani kati ya Hekalu la Mungu na sanamu? Kwa kuwa sisi tu Hekalu la Mungu aliye hai. Kama Mungu alivyosema: “Nitakaa pamoja nao na kutembea katikati yao, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.