Native Bible

2 Corinthians 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi.

2 Corinthians 4:9 in English

2 Corinthians 4:9 · Berean Standard Bible

persecuted, but not forsaken; struck down, but not destroyed.

Context

7Lakini tunayo hazina hii katika vyombo vya udongo, ili ijulikane wazi kwamba uwezo huu wa ajabu unatoka kwa Mungu wala si kwetu. 8Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa; 9twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi. 10Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu. 11Kwa maana sisi tulio hai siku zote tumetolewa tufe kwa ajili ya Yesu, ili kwamba uzima wake upate kudhihirishwa katika mwili wetu upatikanao na mauti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.