Native Bible

2 Corinthians 4:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa;

2 Corinthians 4:8 in English

2 Corinthians 4:8 · Berean Standard Bible

We are hard pressed on all sides, but not crushed; perplexed, but not in despair;

Context

6Kwa kuwa Mungu, yeye aliyesema, “Nuru na ingʼae gizani,” ameifanya nuru yake ingʼae mioyoni mwetu ili kutupatia nuru ya maarifa ya utukufu wa Mungu katika uso wa Kristo. 7Lakini tunayo hazina hii katika vyombo vya udongo, ili ijulikane wazi kwamba uwezo huu wa ajabu unatoka kwa Mungu wala si kwetu. 8Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa; 9twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi. 10Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.