Native Bible

2 Corinthians 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu.

2 Corinthians 4:10 in English

2 Corinthians 4:10 · Berean Standard Bible

We always carry around in our body the death of Jesus, so that the life of Jesus may also be revealed in our body.

Context

8Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa; 9twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi. 10Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu. 11Kwa maana sisi tulio hai siku zote tumetolewa tufe kwa ajili ya Yesu, ili kwamba uzima wake upate kudhihirishwa katika mwili wetu upatikanao na mauti. 12Hivyo basi, mauti inatenda kazi ndani yetu, bali uzima unatenda kazi ndani yenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.