Native Bible

2 Corinthians 4:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana sisi tulio hai siku zote tumetolewa tufe kwa ajili ya Yesu, ili kwamba uzima wake upate kudhihirishwa katika mwili wetu upatikanao na mauti.

2 Corinthians 4:11 in English

2 Corinthians 4:11 · Berean Standard Bible

For we who are alive are always consigned to death for Jesus’ sake, so that the life of Jesus may also be revealed in our mortal body.

Context

9twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi. 10Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu. 11Kwa maana sisi tulio hai siku zote tumetolewa tufe kwa ajili ya Yesu, ili kwamba uzima wake upate kudhihirishwa katika mwili wetu upatikanao na mauti. 12Hivyo basi, mauti inatenda kazi ndani yetu, bali uzima unatenda kazi ndani yenu. 13Imeandikwa, “Niliamini, kwa hiyo nimesema.” Kwa roho yule yule wa imani pia tuliamini na hivyo tunasema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.