Native Bible

2 Corinthians 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata leo Sheria ya Mose inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao.

2 Corinthians 3:15 in English

2 Corinthians 3:15 · Berean Standard Bible

And even to this day when Moses is read, a veil covers their hearts.

Context

13Sisi si kama Mose, ambaye ilimpasa kuweka utaji ili kufunika uso wake ili Waisraeli wasiuone ule mngʼao uliokuwa juu yake hadi ulipofifia na hatimaye kutoweka. 14Lakini akili zao zilipumbazwa, kwa maana mpaka leo utaji ule ule hufunika wakati Agano la Kale linasomwa. Huo utaji haujaondolewa, kwa maana ni katika Kristo peke yake unaondolewa. 15Hata leo Sheria ya Mose inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao. 16Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana, utaji unaondolewa. 17Basi Bwana ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana hapo pana uhuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.