Native Bible

2 Corinthians 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Bwana ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana hapo pana uhuru.

2 Corinthians 3:17 in English

2 Corinthians 3:17 · Berean Standard Bible

Now the Lord is the Spirit, and where the Spirit of the Lord is, there is freedom.

Context

15Hata leo Sheria ya Mose inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao. 16Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana, utaji unaondolewa. 17Basi Bwana ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana hapo pana uhuru. 18Nasi sote, tukiwa na nyuso zisizotiwa utaji tunadhihirisha utukufu wa Bwana, kama kwenye kioo. Nasi tunabadilishwa ili tufanane naye, toka utukufu hadi utukufu mkuu zaidi, utokao kwa Bwana, ambaye ndiye Roho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.