Native Bible

2 Corinthians 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome,

2 Corinthians 10:4 in English

2 Corinthians 10:4 · Berean Standard Bible

The weapons of our warfare are not the weapons of the world. Instead, they have divine power to demolish strongholds.

Context

2Nawaomba nitakapokuja kwenu nisiwe na ujasiri dhidi ya watu fulani, kama ninavyotazamia kwa wale wanaodhani kwamba tunaishi kwa kufuata namna ya ulimwengu huu. 3Ingawa tunaishi duniani, hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo. 4Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome, 5tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu, na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo, 6tena tukiwa tayari kuadhibu kila tendo la kutotii, kutii kwenu kutakapokamilika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.