2 Nyakati 4:15
2 Chronicles 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake;
2 Chronicles 4:15 in English
2 Chronicles 4:15 · Berean Standard Bible
the Sea; the twelve oxen underneath the Sea;
Context
13yale makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); 14vishikio pamoja na masinia yake; 15hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake; 16pia hayo masufuria, masepetu, uma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana.
Vitu vyote ambavyo Huramu-Abi alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa. 17Mfalme aliagiza wavisubu vitu hivi kwenye kalibu za udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani kati ya Sukothi na Sereda.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.