2 Nyakati 4:14
2 Chronicles 4:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
vishikio pamoja na masinia yake;
2 Chronicles 4:14 in English
2 Chronicles 4:14 · Berean Standard Bible
the stands; the basins on the stands;
Context
12zile nguzo mbili;
yale mataji mawili yaliyokuwa juu ya hizo nguzo,
zile nyavu mbili za kupamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli yaliyowekwa juu ya zile nguzo; 13yale makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); 14vishikio pamoja na masinia yake; 15hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake; 16pia hayo masufuria, masepetu, uma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana.
Vitu vyote ambavyo Huramu-Abi alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.