2 Nyakati 4:17
2 Chronicles 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mfalme aliagiza wavisubu vitu hivi kwenye kalibu za udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani kati ya Sukothi na Sereda.*
2 Chronicles 4:17 in English
2 Chronicles 4:17 · Berean Standard Bible
The king had them cast in clay molds in the plain of the Jordan between Succoth and Zeredah.*
Context
15hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake; 16pia hayo masufuria, masepetu, uma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana.
Vitu vyote ambavyo Huramu-Abi alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa. 17Mfalme aliagiza wavisubu vitu hivi kwenye kalibu za udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani kati ya Sukothi na Sereda.* 18Vitu hivi vyote Mfalme Solomoni alivyotengeneza vilikuwa vingi sana hivi kwamba uzito wa shaba haungekadirika. 19Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mungu:
madhabahu ya dhahabu;
meza za kuweka mikate ya Wonyesho;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.