Native Bible

1 Samuel 8:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.

1 Samuel 8:3 in English

1 Samuel 8:3 · Berean Standard Bible

But his sons did not walk in his ways; they turned aside toward dishonest gain, accepting bribes and perverting justice.

Context

1Samweli alipokuwa mzee, akaweka wanawe kuwa waamuzi wa Israeli. 2Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli, na la wa pili lilikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba. 3Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki. 4Basi wazee wote wa Israeli wakakusanyika pamoja na kumjia Samweli huko Rama. 5Wakamwambia, “Wewe umekuwa mzee, nao wanao hawaenendi katika njia zako, sasa tuteulie mfalme wa kutuongoza, kama ilivyo kwa mataifa mengine yote.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.