1 Samweli 8:2
1 Samuel 8:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli, na la wa pili lilikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba.
1 Samuel 8:2 in English
1 Samuel 8:2 · Berean Standard Bible
The name of his firstborn son was Joel, and the name of his second was Abijah. They were judges in Beersheba.
Context
1Samweli alipokuwa mzee, akaweka wanawe kuwa waamuzi wa Israeli. 2Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli, na la wa pili lilikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba. 3Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki. 4Basi wazee wote wa Israeli wakakusanyika pamoja na kumjia Samweli huko Rama.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.