Native Bible

1 Samuel 8:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Samweli alipokuwa mzee, akaweka wanawe kuwa waamuzi wa Israeli.

1 Samuel 8:1 in English

1 Samuel 8:1 · Berean Standard Bible

When Samuel grew old, he appointed his sons as judges * over Israel.

Context

1Samweli alipokuwa mzee, akaweka wanawe kuwa waamuzi wa Israeli. 2Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli, na la wa pili lilikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba. 3Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.