1 Samweli 30:29
1 Samuel 30:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na Rakali; kwa wale waliokuwa katika miji ya Wayerameeli na ya Wakeni;
1 Samuel 30:29 in English
1 Samuel 30:29 · Berean Standard Bible
to those in Racal and in the cities of the Jerahmeelites and Kenites;
Context
27Akazituma kwa wale waliokuwa Betheli, Ramoth-Negebu na Yatiri; 28kwa wale walioko Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa 29na Rakali; kwa wale waliokuwa katika miji ya Wayerameeli na ya Wakeni; 30na kwa wale walioko Horma, Bori-Ashani, Athaki, 31na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.