Native Bible

1 Samuel 30:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.

1 Samuel 30:31 in English

1 Samuel 30:31 · Berean Standard Bible

and to those in Hebron and in all the places where David and his men had roamed.

Context

29na Rakali; kwa wale waliokuwa katika miji ya Wayerameeli na ya Wakeni; 30na kwa wale walioko Horma, Bori-Ashani, Athaki, 31na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.