Native Bible

1 Samuel 30:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa wale walioko Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa

1 Samuel 30:28 in English

1 Samuel 30:28 · Berean Standard Bible

to those in Aroer, Siphmoth, and Eshtemoa;

Context

26Daudi alipofika Siklagi, akatuma baadhi ya nyara kwa wazee wa Yuda, waliokuwa rafiki zake, akasema, “Tazama, hapa kuna zawadi kwa ajili yenu kutoka nyara za adui za Bwana.” 27Akazituma kwa wale waliokuwa Betheli, Ramoth-Negebu na Yatiri; 28kwa wale walioko Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa 29na Rakali; kwa wale waliokuwa katika miji ya Wayerameeli na ya Wakeni; 30na kwa wale walioko Horma, Bori-Ashani, Athaki,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.