1 Samweli 30:27
1 Samuel 30:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akazituma kwa wale waliokuwa Betheli, Ramoth-Negebu na Yatiri;
1 Samuel 30:27 in English
1 Samuel 30:27 · Berean Standard Bible
He sent gifts to those in Bethel, Ramoth Negev, and Jattir;
Context
25Daudi akafanya hili liwe amri na agizo kwa Israeli kutoka siku ile hata leo. 26Daudi alipofika Siklagi, akatuma baadhi ya nyara kwa wazee wa Yuda, waliokuwa rafiki zake, akasema, “Tazama, hapa kuna zawadi kwa ajili yenu kutoka nyara za adui za Bwana.” 27Akazituma kwa wale waliokuwa Betheli, Ramoth-Negebu na Yatiri; 28kwa wale walioko Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa 29na Rakali; kwa wale waliokuwa katika miji ya Wayerameeli na ya Wakeni;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.