1 Samweli 30:25
1 Samuel 30:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi akafanya hili liwe amri na agizo kwa Israeli kutoka siku ile hata leo.
1 Samuel 30:25 in English
1 Samuel 30:25 · Berean Standard Bible
And so it has been from that day forward. David established this statute as an ordinance for Israel to this very day.
Context
23Daudi akajibu, “La hasha, ndugu zangu, kamwe hamwezi kufanya hivyo kwa kile ambacho Bwana ametupatia. Yeye ametulinda na kuweka mikononi mwetu majeshi yale yaliyokuja kupigana dhidi yetu. 24Ni nani atasikiliza yale mnayosema? Fungu la mtu aliyekaa na vyombo litakuwa sawa na la yule aliyekwenda vitani. Wote watashiriki sawa.” 25Daudi akafanya hili liwe amri na agizo kwa Israeli kutoka siku ile hata leo. 26Daudi alipofika Siklagi, akatuma baadhi ya nyara kwa wazee wa Yuda, waliokuwa rafiki zake, akasema, “Tazama, hapa kuna zawadi kwa ajili yenu kutoka nyara za adui za Bwana.” 27Akazituma kwa wale waliokuwa Betheli, Ramoth-Negebu na Yatiri;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.