Native Bible

1 Samuel 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiku mmoja Eli, ambaye macho yake yalikuwa yamefifia sana kiasi kwamba aliona kwa shida sana, alikuwa amelala mahali pake pa kawaida.

1 Samuel 3:2 in English

1 Samuel 3:2 · Berean Standard Bible

And at that time Eli, whose eyesight had grown so dim that he could not see, was lying in his room.

Context

1Kijana Samweli alihudumu mbele za Bwana chini ya Eli. Katika siku zile neno la Mungu lilikuwa adimu, hapakuwepo na maono mengi. 2Usiku mmoja Eli, ambaye macho yake yalikuwa yamefifia sana kiasi kwamba aliona kwa shida sana, alikuwa amelala mahali pake pa kawaida. 3Taa ya Mungu bado ilikuwa haijazimika, na Samweli alikuwa amelala Hekaluni* mwa Bwana, ambapo Sanduku la Mungu lilikuwako. 4Kisha Bwana akamwita Samweli. Samweli akajibu, “Mimi hapa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.