Native Bible

1 Kings 9:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haya ni maelezo kuhusu kazi za kulazimishwa ambazo Mfalme Solomoni, alivyowafanyiza watu ili kulijenga hekalu la Bwana, na jumba lake la kifalme, na Milo,* ukuta wa Yerusalemu, Hazori, Megido na Gezeri.

1 Kings 9:15 in English

1 Kings 9:15 · Berean Standard Bible

This is the account of the forced labor that King Solomon imposed to build the house of the LORD, his own palace, the supporting terraces,* and the wall of Jerusalem, as well as Hazor, Megiddo, and Gezer.

Context

13Hiramu akauliza, “Hii ni miji ya namna gani uliyonipa, ndugu yangu?” Naye akaiita nchi ya Kabul,* jina lililoko hadi leo. 14Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120* za dhahabu. 15Haya ni maelezo kuhusu kazi za kulazimishwa ambazo Mfalme Solomoni, alivyowafanyiza watu ili kulijenga hekalu la Bwana, na jumba lake la kifalme, na Milo,* ukuta wa Yerusalemu, Hazori, Megido na Gezeri. 16(Farao mfalme wa Misri alikuwa ameushambulia na kuuteka mji wa Gezeri. Alikuwa ameuchoma moto. Akawaua Wakanaani waliokuwa wakikaa humo na kisha kuutoa kwa binti yake, yaani mkewe Solomoni, kama zawadi ya arusi. 17Solomoni akaujenga tena Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.