1 Wafalme 9:13
1 Kings 9:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hiramu akauliza, “Hii ni miji ya namna gani uliyonipa, ndugu yangu?” Naye akaiita nchi ya Kabul,* jina lililoko hadi leo.
1 Kings 9:13 in English
1 Kings 9:13 · Berean Standard Bible
“What are these towns you have given me, my brother?” asked Hiram, and he called them the Land of Cabul,* as they are called to this day.
Context
11Mfalme Solomoni akampa Hiramu mfalme wa Tiro miji ishirini katika Galilaya, kwa sababu Hiramu alikuwa amempatia mierezi yote, misunobari na dhahabu yote aliyohitaji. 12Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Solomoni alikuwa amempa, hakupendezwa nayo. 13Hiramu akauliza, “Hii ni miji ya namna gani uliyonipa, ndugu yangu?”
Naye akaiita nchi ya Kabul,* jina lililoko hadi leo. 14Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120* za dhahabu. 15Haya ni maelezo kuhusu kazi za kulazimishwa ambazo Mfalme Solomoni, alivyowafanyiza watu ili kulijenga hekalu la Bwana, na jumba lake la kifalme, na Milo,* ukuta wa Yerusalemu, Hazori, Megido na Gezeri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.