1 Wafalme 9:12
1 Kings 9:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Solomoni alikuwa amempa, hakupendezwa nayo.
1 Kings 9:12 in English
1 Kings 9:12 · Berean Standard Bible
So Hiram went out from Tyre to inspect the towns that Solomon had given him, but he was not pleased with them.
Context
10Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Solomoni alijenga majengo haya mawili, yaani Hekalu la Bwana na jumba la kifalme, 11Mfalme Solomoni akampa Hiramu mfalme wa Tiro miji ishirini katika Galilaya, kwa sababu Hiramu alikuwa amempatia mierezi yote, misunobari na dhahabu yote aliyohitaji. 12Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Solomoni alikuwa amempa, hakupendezwa nayo. 13Hiramu akauliza, “Hii ni miji ya namna gani uliyonipa, ndugu yangu?”
Naye akaiita nchi ya Kabul,* jina lililoko hadi leo. 14Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120* za dhahabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.